MJUE RAIS WA UKRAINE: MCHEKESHAJI ALIYEGEUKA KUWA RAIS ANAYEONGOZA MAPAMBANO DHIDI YA URUSI...
Автор: Global TV Online
Загружено: 2022-03-02
Просмотров: 31992
Описание:
MJUE RAIS WA UKRAINE: MCHEKESHAJI ALIYEGEUKA KUWA RAIS ANAYEONGOZA MAPAMBANO DHIDI YA URUSI...
Macho na masikio ya dunia nzima kwa sasa, yameelekezwa nchini Ukraine ambapo jeshi la nchi hiyo, likiongozwa na Rais Volodymyr Zelenskyy linapambana kufa na kupona na majeshi ya Urusi yaliyovamia nchi hiyo kuanzia februari 24, 2022.
Awali wakati Urusi inaingiza majeshi yake katika ardhi ya Ukraine, wengi waliamini kwamba ndani ya muda mfupi tu utawala wa Ukraine utakuwa umeanguka na jeshi la Urusi kushinda vita lakini kadiri muda unavyosonga mbele, mambo yanaonesha kuwa tofauti...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: [email protected] OR [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: