Madini-Sherehe (Official Music Video)
Автор: Madini
Загружено: 2022-11-17
Просмотров: 36036
Описание:
#Madini#Sherehe#Ndoa
Ndugu zangu,Karibuni kutazama Video yetu ya Sherehe, Ni Sherehe kweli kwenye hii video anaonekana manager wangu Kimwaga Nyoka ( Wa mipango) akifunga ndoa na mimi nilipewa nafasi kama best man wa harusi hiyo fuatilia ujumbe niliompa kupitia wimbo huu na wewe unaweza kuutumia kumpa ujumbe huu yule umpendae katika siku yake ya sherehe ya ndoa...karibu sana...usiache kuweka comment yako, na kulike kama umependa wimbo huu.
Video directed by Director Eddy
Nifuatilie kwenye mitandao ya kijamii
Instagram https://instgram.com/madinii_tz
Facebook / madini_tz
Tiktok https://tiktok.com/madini_tz
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: