TAKUKURU YAKAMATA VITAMBULISHO FEKI MKOANI MARA/ KURA ZA MAONI
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2020-07-30
Просмотров: 1236
Описание:
Taasisi ya Kuzuia na kupambana na Rushwa( Takukuru) mkoani Mara imekamata zaidi vitambuulisho hewa 40 ambavyo vilitengenezwa na mmoja wa wagombea nafasi ya ubunge viti maalum (CCM) mkoa wa Mara kwa lengo la kujipatia kura kwa njia za udanganyifu maarufu kama kura za maruhani.
Mkuu wa Takukuru mkoa wa Mara, Alex Kuhanda amesema kuwa mgombea huyo ambaye hakuwa tayari kutaja jina lake anadaiwa kutegeneza vitambulisho hivyo kwa kushirikiana na kiongozi mmoja wa chama hicho ngazi ya mkoa ilhali wakijua kuwa kufanya hivyo ni kiyume cha sheria na taratibu za nchi pamoja na chama hicho.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: