UKIOTA NDOTO YA NYOKA MWEUSI / JIHADHARI NA MAMBO HAYA 3 HATARI.
Автор: DIMMO TV ONLINE
Загружено: 2023-11-06
Просмотров: 9684
Описание:
TAFSIRI YA KUOTA NDOTO YA NYOKA MWEUSI
Katika video hii nimeelezea kwa kina, juu ya tafsiri ya ndoto kwa yule alie weza kuota ndoto ya nyoka mweusi.hivyo nimefafanua maana ya ndoto hiyo na bishara yake.
Usisahau ku subcribe/ kulike/ Kushare/ na kucomment
Kwa mahitaji ya visomo vya dua, pamoja na dawa za miti shamba na tiba za maradhi mbali mbali waweza fika dukani kwetu tegeta jijini dar es salaam.
(MANYEMA HERBALIST CLINIC)
Wezesha mchango wako kama sadaka kwa ajili ya manunuzi ya vifaa vya kutuendeshea vipindi vyetu vya darasa za tiba zetu asili.tunahitaji CAMERA, BOOM MIC,STEND YA CAMERA na vitu vinginevyo.
chochote utakacho jaaliwa na Allah basi tupe mchango wako kwa hali na mali, ili kuipa nguvu chanel yetu hii Ya DIMMO TV.
(INSHAALLAH MUNGU ATAKUBARIKI)
MAWASILIANO
0714 927 098
0754 852 596
MAALIM KOMBO
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: