Mimba ya Mwalimu Ilivyotikisa Shule Nzima – Hadithi ya Kusikitisha
Загружено: 2026-03-07
Просмотров: 1933
Описание:
Hadithi hii inaelezea maisha ya mwalimu Amina ambaye siku moja alijikuta katikati ya uvumi mkubwa kijijini baada ya kugundulika kuwa ana mimba. Watu waliongea sana, wengine walimhukumu bila kujua ukweli.
Lakini siku ya ukweli ilipofika… kila mtu alibaki kimya baada ya kusikia jina la baba wa mtoto.
Je, nini kilitokea kwa mwalimu Amina?
Na kwa nini ukweli wake uliwashangaza watu wote?
Tazama simulizi hii ya kusikitisha mpaka mwisho ujue kilichotokea.
Subscribe kwa simulizi zaidi za kusisimua kutoka LIZOMAVOICE
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: