Wachimbaji madini Mbeya wapongeza uamuzi kukatwa 2% ya mauzo ya dhahabu
Автор: Azam TV
Загружено: 2023-03-16
Просмотров: 1158
Описание:
Wachimbaji wa madini mkoani Mbeya wamepongeza uamuzi wa Serikali wa kuwakata asilimia mbili ya mauzo ya dhahabu papo hapo, tofauti na ilivyokuwa awali, ambapo walikadiriwa mapato muda mfupi tu baada ya kupata leseni, bila kujali wameanza uchimbaji ama la.
#AzamTVUpdates
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: