Elon Musk Hashiki Bunduki, Lakini Anaamua Vita.
Автор: madinidotcom
Загружено: 2026-02-10
Просмотров: 17963
Описание:
Vita vya kisasa haviamuliwi tena na nani ana vifaru vingi — vinaamuliwa na nani ana mtandao.Katika episode hii, tunaangalia jinsi Starlink imegeuka kuwa silaha ya vita Ukraine, jinsi Russia ilivyojifunza kuishi bila au dhidi ya Starlink,na kwanini wakati mwingine Ukraine inasimama ghafla front line — si kwa kukosa risasi, bali kwa kukosa signal...MAKINIKA NA Grayson Gideon
MADINIDOTCOM : A Weekly radio show for Information and Transformation. #TaarifaNaMaarifa .
every Sat 3:00pm-4:00pm on Eastafrica radio.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: