Ujasiriamali Kiganjani Mwako
Автор: Kreative Karakana
Загружено: 2026-01-08
Просмотров: 1
Описание:
ulianza kama ndoto kuleta elimu ya ujasiriamali karibu na kila kijana, kila mama, kila mjasiriamali anayehangaika kutafuta mwanga.
Leo… safari hiyo imefika KIGANJANI KWAKO. 🤳🏽
Karibu "Karakana"
Kozi za ujasiriamali kwa Kiswahili zilizoandaliwa na wajasiriamali wenye uzoefu. Hii sio App tu bali ni mahali ambapo unajifunza popote, muda wowote na kwa gharama rafiki.
Pakua sasa kupitia Google Play Store au kwa kupitia link iliyo kwenye bio yetu na uanze safari ya biashara iliyo smart!.
#MadeInTanzania | #Ubunifu | #Ujasiriamali
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: