Deo Sanga: Aibua tena Mambo ya Mitandaoni Bungeni I Awataja Kikwete, Nape, Kinana na Spika Ndugai
Автор: CLOUDSMEDIA
Загружено: 2021-04-21
Просмотров: 2473
Описание:
"MBUNGE SANGA AIBUA TENA MAMBO YA MITANDAO TENA BUNGENI"
.
_
Mbunge wa Makambako, Deo Sanga akichangia bungeni hii leo amegusia "tena" mambo yanayoendelea katika mitandao ya kijamii akisema mambo hayo yanahatarisha amani ya nchi huku akisema vyombo vya usalama vimebaki kimya.
Mbunge Sanga amesema huko kwenye mitandao wamemuweka Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, Katibu Mstaafu wa CCM Abdulrahman Kinana, Mbunge wa Mtama Nape na Nnauye na Spika Job Ndugai na kueleza mambo ambayo ni hatari kwa nchi na yanapaswa kukemewa.
Mbunge Sanga alikuwa akichangia hotuba ya makadirio ya bajeti ya ofisi ya Rais-TAMISEMI ambapo amegusia mambo kadhaa ikiwemo TARURA na changamoto za bima ya afya
#KutokaBungeni
#CloudsDigitalUpdates
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: