Hatua za kufuata kumuanzishia Mtoto wa miezi sita chakula cha ziada
Автор: Jiko Point
Загружено: 2025-09-18
Просмотров: 5695
Описание:
Katika miezi sita ya mwanzo wataalamu wa lishe hushauri mtoto apewe maziwa ya mama pekee bila kuchanganya na chochote ili kumpatia virutubisho vinavyohitajika katika hatua hiyo ya ukuaji.
Mwongozo wa lishe kwa watoto wadogo uliotolewa na Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC) unabainisha kuwa baada ya miezi sita ya mwanzo mtoto mchanga anahitaji chakula cha ziada ili kumpatia virutubisho ambavyo hupungua katika maziwa ya mama kadri mtoto anayokuwa.
Hatua hizo zimegawanyika katika wiki tatu ambapo mtoto hupewa vijiko viwili hadi vitatu wiki ya kwanza na kuongezewa kadri siku zinavyoongezeka.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: