Tani 600000 za mbolea kutoka kiwanda Itracom Fertilisers itasaidia raia mkulima wa EAC kukuza kilimo
Автор: Mashariki TV
Загружено: 2021-10-23
Просмотров: 7732
Описание: Uwekaji jiwe la msingi kwa ujenzi wa kiwanda ITRACOM FERTILISERS LIMITED na Mh.raïs wa jamhuri ya nchi ya Burundi Evariste NDAYISHIMIYE mjini Dodoma,itapelekea Afrika Mashariki inahudumiwa mbolea safi kwa Ardhi. Kiwanda hicho cha mbolea kitakuwa na uwezo wa kuzalisha tani 600 000 za mbolea na kitatoa ajira kwa watu 10000 kutoka nchi za Burundi na Tanzania.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: