Jinsi ya kuchop na kusample wimbo na kutengeneza beat kama s2kizzy
Автор: Aroncademy
Загружено: 2021-06-07
Просмотров: 5993
Описание:
Watch this fl studio tutorial learn how to chop and sample some parts of any song to create
your own beat idea like s2kizzy .Also you will learn some cool tricks for sample choping and making beats on fl studio
Katika video hii utajifunza jinsi ya kuchop na kusample sehemu ya wimbo na kutengeneza beat nyingine kama
ambavyo producer s2kizzy amefanya kwenye nyimbo ya pumzi ya mwisho ya vanessa mdee akiwa na joh makini na casper nyovest
na kwenye nyimbo ya zamani ya rayvanny inayopatikana katika album ya sound from africa
pia utajifunza mbinu mbali mbali zitakazo kurahisishia jinsi ya kutengeneza beat katika fl studi
WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/DXIkeyPjvCJ...
facebook: / aroncademy-102257078382850
Instagram: / aroncademy
Twitter: / aronbeatz
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: