WAWAKILISHI WA TANZANIA BARA KATIKA MASHINDANO MAKUBWA ZAIDI YA QUR'AAN AFRIKA WAPATIKANA.
Автор: Kishki Online TV
Загружено: 2020-03-16
Просмотров: 8421
Описание: Safari ya kuelekea katika Mashindano Makubwa Zaidi ya Qur'aan Barani Afrika imeanza tarehe 15/3/2020 siku ya jumapili, ulikuwa na mchakato wa kumtafuta muwakilishi wa Tanzania Bara, mchakato huo ulianzia Masjid Ihsaan maarufu Veternary uliyopo Temeke jijini D.s.m kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 7 mchana ikiwa ni raundi ya kwanza iliyokuwa na washiriki 27na atimae kupatikana washindi 10 walioingia mzunguko wa pili, Na mzungu huo iliendelea Pale Masjid Nuryaakin uliyopo Temeke Mtaa wa Yombo kwa wale washiriki 10 akitafutwa mshindi mmoja, na Omar Abdallah Salim kutoka Madrasat Raudhwa Temeke.akiibuka mshindi na kuwa muwakilishi wa Tanzania bara na Taasisi ya Al-Hikma Foundation pia ikiwakilishwa na Omar Mohamad Seif .
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: