SHAJARA | Matukio yaliyotikisa dunia 2025 na suluhu za kumaliza mizozo
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2025-12-29
Просмотров: 672
Описание:
Katika mwaka 2025, dunia imeshuhudia misukosuko na matukio makubwa yaliyotikisa siasa, uchumi na usalama wa kimataifa. Kuanzia migogoro ya kijeshi, mishtuko ya kiuchumi, hadi mabadiliko ya kidiplomasia yaliyobadili mwelekeo wa mataifa—hali inazidi kuibua maswali kuhusu mustakabali wa amani duniani.
Katika uchambuzi huu, wachambuzi wa masuala ya siasa Ibrahim Rahbi na Abdulaziz Jaad wanaungana nasi kutathmini nini kinapaswa kufanyika ili kumaliza mizozo inayoendelea, kurejesha uthabiti wa kisiasa, na kusukuma mbele juhudi za kimataifa za kujenga dunia yenye usawa na utulivu.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: