Alichosema Kijana Shujaa Majaliwa baada ya kufika Bungeni leo
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2022-11-11
Просмотров: 344125
Описание: Kijana shujaa aliyewaokoa abiria wa ajali ya ndege ya Kampuni Precision Air iliyojitokeza Novemba 6, 2022 Bukoba mkoani Kagera, Jackson Majaliwa aliyefika bungeni leo Ijumaa ya Novemba 11,2022, amemshukuru Rais Samia wakati alipozungumza na wanahabari Bungeni Jijini Dodoma wakati akipewa pongezi za Wabunge na Waziri Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Jenista Mhagama.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: