HII HAPA NDEGE IKITENGENEZWA MAZIMBU-MOROGORO
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2024-10-25
Просмотров: 927
Описание:
TANZANIA imekuwa na kasi kubwa katika ongezeko la viwanda ambapo kufikia mwaka 2023 idadi yake ilifikia 80, 969 jambo ambalo linaelezwa kusukumwa na uwekezaji haswaa katika sekta ya Viwanda na hivyo kusababisha uchumi wa Taifa kukua kutoka asilimia 4.7 mwaka 2022 mpaka asilimia 5.1 mwaka 2023.Wananchi katika maeneo ya jiji la DSM wameeleza namna uwekezaji huo umekuwa na umuhimu kwa Taifa na kwa mtu mmojammoja kwa kuwa imewaletea ajira, na hivyo wameiomba serikali kuongeza nguvu katika kuhamasisha uwekezaji, ili kuliinua zaidi pato la Taifa ambalo kwa Mwaka 2023, lilifikia shilingi bilioni 148,399.76 kutoka shilingi bilioni 141,247.19 mwaka 2022.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: