ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Kanisa la Gwajima Lapitiwa na Bomoa Bomoa

Автор: Global TV Online

Загружено: 2017-09-07

Просмотров: 44863

Описание: SUBSCRIBE NOW    / uwazi1  
KANISA la Ufufuo na Uzima lililopo Mbezi Inn linalomilikiwa na Askofu Josephat Gwajima limebomolewa. Nyumba hiyo ya ibada ambayo pia ilikuwa ikitumika kama kituo cha maombezi imebomolewa na Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads).

Imeelezwa kanisa hilo limejengwa ndani ya hifadhi ya Barabara ya Morogoro ya mita 121.5. Kwa mujibu wa waumini wa kanisa hilo, pia limekuwa likitumika kama kituo cha kufundishia wachungaji limebomolewa jana jioni hali iliyosababisha waumini wa Kanisa hilo kusalia nje. Vitu vikiwa nje na baadhi ya waumini wakiendelea na maombi nje.
Usipitwe na Matukio, Install Global Publishers App

Mmoja wa waumini ambaye hakutaka kujitambulisha kwa madai si msemaji, amesema kanisa leo limebomolewa lakini injili inaendelea kuhubiriwa kama kawaida .

“Tunaendelea na huduma na kesho tutakuwa na ibada itakayoanza saa kumi jioni “amesema.

Muumini mwingine pia amesema hali ilikuwa mbaya jana wakati kanisa hilo linabomolewa kwani waliwakuta wakiwa katika maandalizi ya kufanya maombi. Walifika jana wakatuambia tutoe vitu, ilibidi tuache kufanya maandalizi tukatoa vitu” amesema muumini huyo huku akikataa kutajwa jina kwa kuwa si msemaji mkuu wa kanisa hilo.
Subscribe, Like, Comment na Share kwa wengine...
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…
   / uwazi1  
   / uwazi1  
   / uwazi1  
WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/
FACEBOOK:   / globalpublis.  .
TWITTER:   / globalhabari  
INSTAGRAM:   / globalpubli.  .

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Kanisa la Gwajima Lapitiwa na Bomoa Bomoa

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

KANISA WANALOSALI WAUMINI WA GWAJIMA NA KKAM LABOMOLEWA, POLISI WAWEKA ULINZI

KANISA WANALOSALI WAUMINI WA GWAJIMA NA KKAM LABOMOLEWA, POLISI WAWEKA ULINZI

GWAJIMA ATOA TAMKO KALI KUHUSU BOMOA BOMOA YA KANISA LAKE UBUNGO

GWAJIMA ATOA TAMKO KALI KUHUSU BOMOA BOMOA YA KANISA LAKE UBUNGO

UZINDUZI JENGO LA UFUFUO NA UZIMA - ASKOFU DR JOSEPHAT GWAJIMA

UZINDUZI JENGO LA UFUFUO NA UZIMA - ASKOFU DR JOSEPHAT GWAJIMA

Kijiji ambacho wanaume wote wamepigwa marufuku!

Kijiji ambacho wanaume wote wamepigwa marufuku!

"KESHO TUTASALI KANISA KATOLIKI" ASKOFU WA KANISA LA GWAJIMA MWANAMAPINDUZI AFUNGUKA BAADA YA IBADA

WAUMINI WA GWAJIMA WAMWAGA MACHOZI WAKISALI UKUMBINI BAADA YA KANISA KUVUNJWA, POLISI WAIBUKA TENA

WAUMINI WA GWAJIMA WAMWAGA MACHOZI WAKISALI UKUMBINI BAADA YA KANISA KUVUNJWA, POLISI WAIBUKA TENA

Maombi yenye nguvu ya hatari aliyoomba ASKOFU GWAJIMA siku ya JUMAPILI yazua jambo

Maombi yenye nguvu ya hatari aliyoomba ASKOFU GWAJIMA siku ya JUMAPILI yazua jambo

Msikilize Askofu Gwajima baada ya tetesi za kufungwa kanisa lake

Msikilize Askofu Gwajima baada ya tetesi za kufungwa kanisa lake

⚡️ШЕЙТЕЛЬМАН: ДИКИЙ УЛЬТИМАТУМ Кремля по ПЕРЕГОВОРАХ! Путин ОБЛАПОШИЛ Трампа. Зеленский ОБЫГРАЛ ВСЕХ

⚡️ШЕЙТЕЛЬМАН: ДИКИЙ УЛЬТИМАТУМ Кремля по ПЕРЕГОВОРАХ! Путин ОБЛАПОШИЛ Трампа. Зеленский ОБЫГРАЛ ВСЕХ

Остановка боевых действий? / Москва озвучила главное требование

Остановка боевых действий? / Москва озвучила главное требование

Hivi Ndivyo Watu Wanavyoibiwa Nyota Zao Bila Kujua Na Kushindwa Kufanikiwa - Askofu Josephat Gwajima

Hivi Ndivyo Watu Wanavyoibiwa Nyota Zao Bila Kujua Na Kushindwa Kufanikiwa - Askofu Josephat Gwajima

Mbagala yalipuka Maandamano Raia wakimbiza Polisi baada ya kuua Boda boda;Samia hajatosheka na damu

Mbagala yalipuka Maandamano Raia wakimbiza Polisi baada ya kuua Boda boda;Samia hajatosheka na damu

Czy Chiny szykują się na upadek Rosji?

Czy Chiny szykują się na upadek Rosji?

Сталин, Красный террор

Сталин, Красный террор

CHRISTINA SHUSHO ALIVYOGUSA MOYO WA ASKOFU GWAJIMA na KUHANI MUSSA WASHINDWA KUJIZUIA

CHRISTINA SHUSHO ALIVYOGUSA MOYO WA ASKOFU GWAJIMA na KUHANI MUSSA WASHINDWA KUJIZUIA

Ինչպե՞ս են թալանում Հայաստանը. թվեր և փաստեր. Արթուր Խաչիկյան

Ինչպե՞ս են թալանում Հայաստանը. թվեր և փաստեր. Արթուր Խաչիկյան

SAMIA INGIA KWENYE 18! MKAZI WAMAREKANI ALIYETEKWA AIBUA MAPYA, MAREKANI KUINGILIA KATI

SAMIA INGIA KWENYE 18! MKAZI WAMAREKANI ALIYETEKWA AIBUA MAPYA, MAREKANI KUINGILIA KATI

ДК МВИГУЛУ ДАЕТ УКАЗАНИЯ ВОДИТЕЛЯМ ТАРАБОТОВ, БАДЖАДЖИ И АВТОМОБИЛЕЙ, КОТОРЫЕ ДОЛЖНЫ БЫТЬ ИЗЪЯТЫ ...

ДК МВИГУЛУ ДАЕТ УКАЗАНИЯ ВОДИТЕЛЯМ ТАРАБОТОВ, БАДЖАДЖИ И АВТОМОБИЛЕЙ, КОТОРЫЕ ДОЛЖНЫ БЫТЬ ИЗЪЯТЫ ...

Mashetani watu wako duniani,. Na Mungu ameleta majasusi ya mbinguni.. Askofu Gwajima Atoa elimu

Mashetani watu wako duniani,. Na Mungu ameleta majasusi ya mbinguni.. Askofu Gwajima Atoa elimu

Mtalii Atoboa Siri Zakushangaza Baada ya Kutembea Tanzania Nzima

Mtalii Atoboa Siri Zakushangaza Baada ya Kutembea Tanzania Nzima

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]