Ushindi Wako Mkubwa Upo Mbele Usikate Tamaa | The Psychology of Money – Sura ya 6
Автор: SAUTI YA KURASA
Загружено: 2025-12-09
Просмотров: 1229
Описание:
📚Nunua kitabu hapa 👇 👇 👇
https://amzn.to/4icYjMm
Je, unajua kwamba huhitaji kushinda mara nyingi ili kufanikiwa?
Sura ya 6 ya The Psychology of Money (“Tails, You Win”) inaeleza kuwa mafanikio makubwa hutokana na tukio moja la kipekee, si ushindi wa kila siku.
Katika video hii naeleza kwa lugha rahisi, bila utata, kwa nini kushindwa mara nyingi si tatizo—mradi unaendelea kucheza mpaka ule ushindi mmoja mkubwa utokee.
Utajifunza:
– Nini maana ya “Tails, You Win”
– Kwa nini watu wakubwa hawashindi mara nyingi
– Siri ya kuendelea kujaribu bila kutupa tamaa
– Jinsi ushindi mmoja unaweza kufuta miaka ya makosa
– Funzo la Morgan Housel kuhusu uvumilivu na mafanikio ya muda mrefu
Ikiwa unapenda video za motivation, pesa, mindset, and real life success stories, basi hii ni kwa ajili yako.
Subscribe kwa mafunzo zaidi ya The Psychology of Money na vitabu vingine vinavyobadilisha maisha.
#ThePsychologyOfMoney
#MorganHousel
#MoneyMindset
#Mafanikio
#MindsetYaUtajiri
#MotivationSwahili
#FinancialWisdom
#PesaNaMafanikio
#UshindiMmoja
#SuccessMindset
#InvestmentTips
#TailsYouWin
#MotivationDaily
#KutoKataTamaa
#GrowthMindset
#LearnOnYouTube
#InspirationDaily
#MotivationForYou
#KeepGoing
#DontGiveUp
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: