SIMANZI: HALI YA SUNCHE NA KAPETO, MMOJA YU HOI KITANDANI, HAWEZI KUTEMBEA, AWALILIA WATANZANIA..
Автор: Global TV Online
Загружено: 2022-07-29
Просмотров: 24999
Описание:
SIMANZI: HALI YA SUNCHE NA KAPETO, MMOJA YU HOI KITANDANI, HAWEZI KUTEMBEA, AWALILIA WATANZANIA..
KWA MSAADA - 0788 014111 - ( MBARAKA GWENNGO )
KAMA wewe ni mfuatiliaji mzuri wa sanaa ya Tanzania hasa ya vichekesho na uigizaji basi utakuwa unawakumbuka vizuri Sunche na Kapeto, ambao ni mapacha waliowahi kupendwa mno na watanzania katika ulimwengu wa sanaa. Diamond Plutnumz katika wimbo wake wa Zilipendwa, amewataja wasanii hawa....
Wachekeshaji hao mmoja ambaye ni Kapeto ni mgonjwa kwa miaka miwili sasa akisumbuliwa na tatizo la Korodani kuvimba, ambapo wamezungumza na Global TV na kuomba msaada kwa watanzania wa zaidi ya shilingi Milioni 2 ili akatibiwe na kurudi kwenye fani yake kama zamani.
0788 014111 - ( MBARAKA GWENNGO )
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: [email protected] OR [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: