Mimi ni mkulima - Malimi Busungu wa Lipuli FC kwenye SOKA KIJIWENI (14/05/2018)
Автор: Azam TV
Загружено: 2018-05-15
Просмотров: 14610
Описание:
Mara Paaap... Dodi ameibuki Iringa na ghafla anakutana na Sraika wa Lipuli FC, Malimi Busungu ambaye amewahi pia kuzichezea Yanga na Mgambo JKT.
Story nyingi zimezungumzwa kijiweni akiwa na washkaji zake kibao, likiwemo suala la ushirikina katika soka la Bongo huku akiweka wazi idadi ya madem alionao na kuweka wazi kuwa yeye ni mkulima hodari.
Kipindi cha Soka Kijiweni ni kila Jumatatu saa 1:00 jioni, Azam Sports 2.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: