KHAMENEI AMLAUMU VIKALI TRUMP KWA KUCHOCHEA MAANDAMANO YALIYOSABABISHA MAUAJI 📍IRAN
Автор: Global TV Online
Загружено: 2026-01-18
Просмотров: 1380
Описание:
KHAMENEI AMLAUMU VIKALI TRUMP KWA KUCHOCHEA MAANDAMANO YALIYOSABABISHA MAUAJI 📍IRAN
@ONESMO SANGALALI - DAR
CC; BAKARI MAHUNDU
Kiongozi mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ametoa kauli kali akisema kuwa mamlaka za nchi hiyo “lazima wavunje mgongo wa wachochezi wa fitina,” akisisitiza kuwa serikali haitasita kutumia nguvu kuhakikisha utulivu na kulinda mfumo wa uongozi wa kidini. Kauli hiyo imetolewa baada ya ukandamizaji mkali wa maandamano yaliyodumu kwa wiki kadhaa, ambapo wananchi walijitokeza barabarani kupinga uongozi wa makasisi na hali mbaya ya kisiasa na kiuchumi nchini humo.
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: