"LAZIMA NIOLEWE PASAKA HII," Lakini Kilichotokea, Kila Mtu Hakuamini....😮😥😮
Автор: Vadivendo Arts
Загружено: 2026-02-27
Просмотров: 2168
Описание:
Hadithi ya kusisimua ya Halima – msichana mchapakazi aliyefanikiwa kujenga saluni yake kwa bidii na moyo wa kusaidia, lakini presha ya ndoa na maamuzi ya haraka yakageuza maisha yake kabisa. 💔
Je, shinikizo la jamii linaweza kukupeleka wapi? Tazama kisa hiki chenye mafunzo makubwa kuhusu upendo, subira na kujithamini.
Usisahau KULAIIKE 👍, KOMENTI 💬, SHARE 🔁 na SUBSCRIBE 🔔 ili usikose hadithi nyingine zenye mafunzo makubwa!
#HadithiYaMaisha #SimuliziYaKusisimua #MapenziNaMaumivu #ShinikizoLaNdoa
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: