RECORDED SERVICE
Автор: Paschal Makemba Nuru Duniani FM & TV
Загружено: 2026-02-24
Просмотров: 54
Описание:
Katika safari ya maisha yangu, ndoto yangu kubwa ni kuona angalau mtu mmoja akifurahia na kubadilika kupitia huduma ambayo Mungu ameweka ndani yangu. Sioni jambo lingine la thamani zaidi kuliko kujitoa kikamilifu kuhudumia maisha ya watu.
Furaha yangu, hali yangu, na kila nilichonacho havina maana kama sitasimama na mtu mmoja, akasema: "Kama si kupitia mtumishi wa Mungu Paschal Thomas, sijui ningekuwa wapi leo."
Ungana nasi katika ibada hii ya kipekee: 🌐 Tovuti: www.nuruduniani.org 📻 Sikiliza Mubashara: Stream.ibadalive.com/8020/stream
#NuruDuniani #PaschalThomas #UkomboziWaNafsi #IbadaMubashara #UchumiNaMaombi
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: