Kwa Nini Unatakiwa Kukua Kiroho? Siri ya Ushindi na Baraka Zako
Автор: Pastor Philipo Mollel
Загружено: 2025-08-20
Просмотров: 209
Описание:
Kila muumini anaitwa kukua kiroho ili kufikia kiwango cha ushindi, baraka, na hatima njema aliyokusudia Mungu. Ukikomaa kiroho:
Unaweza kushinda majaribu na vita vya rohoni (Luka 10:19)
Unakuwa msingi wa baraka kwa familia na jamii yako (Mwanzo 12:2-3)
Unapata neema na kibali mbele za Mungu (Mwanzo 6:8)
Ndoto zako na maono yako yanakamilika (Habakuki 2)
Unakuwa mfano wa nuru na ushuhuda kwa ulimwengu.
Sikiliza ujumbe huu kutoka kwa Mch. Philipo Mollel wa Christ Church Global (CCG) na utajua siri ya kwanini lazima ulevel-up kiroho na kuishi maisha ya ushindi.
👉 Subscribe kwa mafundisho zaidi ya Neno la Mungu safi na lenye nguvu.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: