🔴 MWALIMU AKUTWA AMEFARIKI NDANI KWAKE
Автор: RUVUMA TV
Загружено: 2026-01-17
Просмотров: 225
Описание:
Baba Mzazi wa Mwalimu Zainabu alia kwa uchungu baada ya kumtafuta mwanae kwa mda mrefu na kumkuta ndani akiwa amefariki
Baba mzazi wa Marehemu huyo amekili kuwa hapo kabla mwalimu huyo alilazwa na kuruhusiwa kurudi nyumbani kwake kabla ya umauti kumkuta
Kwa upande wao baadhi ya wananchi wamezungumzia kitendo hicho na wengine wakidiriki kusema kuwa kitendo kama hicho hakijawahi kutokea hapo kabla
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: