ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

SERIKALI YA ZANZIBAR ITAENDELEA KUUNGA MKONO JITHADA ZA MADAKTARI, KUWAPATIA HUDUMA ZA AFYA WANANCHI

Автор: Zbc Zanzibar

Загружено: 2023-03-12

Просмотров: 439

Описание: Makamu Wa Pili Wa Rais Wa Zanzibar Mhe Hemed Suleiman Abdulla Ameyasema hayo katika hafla ya kuwashukuru Madaktari Wazalendo kutoka Tanzania Bara na Zanzibar huko Hoteli ya ngalawa, Wilaya ya Magharibi “A” Unguja ambapo alichangia Shilingi milioni 10 kusaidia huduma za Afya katika Bonanza maalum la kuchangisha damu.
amesema katika kuimarisha upatikanaji wa huduma za afya Serikali imeamua kujenga Hospitali za Kisasa kila Wilaya, na kuahidi kuzipatia Vifaa na Watumishi wanaohitajika katika Hospitali hizo wakiwemo Madaktari na Wauguzi.
Waziri wa Afya zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazurui amesema kupitia Bonanza hilo Wizara imejifunza mambo mbali mbali na kuahidi kushirikiana na Wadau ili kutoa huduma bora za afya kwa Wananchi.
Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud amesema jumla ya Wananchi elfu Tisa Mia Moja na Tisiini na Tano wamepimwa Afya zao na kupatiwa Matibabu na Chupa 349 za Damu salama zimepatikana.
Madakatari hao wameishukuru Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kushirikiana na Wizara ya Afya kwa kuwapa Ushirikiano na kufanikisha lengo lao la kutoa huduma kwa Wananchi wa Mkoa huo.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
SERIKALI YA ZANZIBAR ITAENDELEA KUUNGA MKONO JITHADA ZA MADAKTARI, KUWAPATIA HUDUMA ZA AFYA WANANCHI

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

OMO: Nitaitimiza ndoto ya Wazanzibari, Watanzania kupitia ACT Wazalendo - Part Two | GUMZO MAALUM

OMO: Nitaitimiza ndoto ya Wazanzibari, Watanzania kupitia ACT Wazalendo - Part Two | GUMZO MAALUM

SABRA MACHANO: Nilifukuzwa kazi ZSSF kisa natembea na RAIS

SABRA MACHANO: Nilifukuzwa kazi ZSSF kisa natembea na RAIS

Раскрыты Загадки Армянского Алфавита. Это делает его уникальным

Раскрыты Загадки Армянского Алфавита. Это делает его уникальным

🤯В Москве БЕДА! Путин СРОЧНО СВОРАЧИВАЕТ

🤯В Москве БЕДА! Путин СРОЧНО СВОРАЧИВАЕТ "СВО"? Отдал ПРИКАЗ генералам. АСЛАНЯН, ЛИПСИЦ

ГУДКОВ:

ГУДКОВ:"Путин в припадке. Нокдаун". Чем обернется удар США по Ирану, что в Кремле, как будет дальше?

UFAFANUZI WA TAHARUKI ILIYOTOKEA ZANZIBAR, GARI LA POLISI LAPIGWA MAWE, RAIA WAWILI WAFARIKI

UFAFANUZI WA TAHARUKI ILIYOTOKEA ZANZIBAR, GARI LA POLISI LAPIGWA MAWE, RAIA WAWILI WAFARIKI

KIMENUKA! Mbunge Awacharukia Wabunge Wanaoidharau Zanzibar

KIMENUKA! Mbunge Awacharukia Wabunge Wanaoidharau Zanzibar

MANISPAA YA MJINI ZANZIBAR YATOA AGIZO LA KUONDOA WAFANYABIASHARA WASIORASMI

MANISPAA YA MJINI ZANZIBAR YATOA AGIZO LA KUONDOA WAFANYABIASHARA WASIORASMI

Последний день мамонтов

Последний день мамонтов

MABASI MENGINE YA UMEME YAWASILI ZANZIBAR

MABASI MENGINE YA UMEME YAWASILI ZANZIBAR

#MABADILIKO MAPYA NA UPANGAJI MJI WA ZANZIBAR

#MABADILIKO MAPYA NA UPANGAJI MJI WA ZANZIBAR

NAIBU WAZIRI WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI ZANZIBAR  AKAGUA BARABARA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA

NAIBU WAZIRI WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI ZANZIBAR AKAGUA BARABARA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA

MAMLAKA YA MJI MKONGWE YATOA ONYO KALI: WAFANYABIASHARA WATAKIWA KULIPA MADENI

MAMLAKA YA MJI MKONGWE YATOA ONYO KALI: WAFANYABIASHARA WATAKIWA KULIPA MADENI

Апокалипсис близко? Атака на Иран | Экстренный выпуск | Константин Сивков

Апокалипсис близко? Атака на Иран | Экстренный выпуск | Константин Сивков

Ноги не будут болеть 100%! Засуньте их в этот раствор — эффект через 3 дня!

Ноги не будут болеть 100%! Засуньте их в этот раствор — эффект через 3 дня!

NDEGE IKIANGUKA UWANJA WA NDEGE ZANZIBAR, ZAA YAJIPIMA UFANISI

NDEGE IKIANGUKA UWANJA WA NDEGE ZANZIBAR, ZAA YAJIPIMA UFANISI

Vita ya maneno ya vigogo wa siasa Zanzibar haya ndo makavu waliyopeana

Vita ya maneno ya vigogo wa siasa Zanzibar haya ndo makavu waliyopeana

FOLENI SASA BASI BUBUBU BARAZA LA WAWAKILISHI LAJADILI UJENZI WA MADARAJA  ZANZIBAR

FOLENI SASA BASI BUBUBU BARAZA LA WAWAKILISHI LAJADILI UJENZI WA MADARAJA ZANZIBAR

Авиаудар по резиденции / Лидер страны убит?

Авиаудар по резиденции / Лидер страны убит?

#ZANZIBAR KUGEUKA DUBAI KWA MADUKA

#ZANZIBAR KUGEUKA DUBAI KWA MADUKA

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]