ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Mwana FA alivyoshusha mistari live Dodoma "Mimi najua sana kuchana, hakuna anayenizidi kuandika."

Автор: Mwananchi Digital

Загружено: 2024-05-25

Просмотров: 1140

Описание: Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuna (Mwana FA) amesema kuwa bado hakuna msanii wa miondoko ya Hip Hop aliyeweza kuchukua nafasi yake kwenye uandishi wa mashairi ya muziki huo.

"Mimi ni Shaban Robert wa kizazi hiki najua kuchana, watu wanaandika hivi sasa lakini mimi najua sana" ameongeza FA.

Mwana FA ameyasema hayo akizungumza na vijana katika uzinduzi wa kampeni ya TK MOVEMENT leo Jumamosi, Mei 25, 2025, ambapo amesema haijalishi vijana wamepitia au wanapitia magumu kiasi gani lakini wafungue macho kuangalia walilokuja kulifanya duniani, na watapata namna ya kufikia lengo la kuishi kwao.

"Hadithi ya maisha yangu inafahamika na wengi mara zote nataka kukumbukwa kama Mwalimu, na sio mwalimu wa kushika chaki bali ni Mwalimu kwa maisha ambayo nimeishi na kuyapitia mpaka hapa nilipo" ameongeza.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Mwana FA alivyoshusha mistari live Dodoma "Mimi najua sana kuchana, hakuna anayenizidi kuandika."

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Part1 - Mwana FA - Wasanii wengi Bongo wanakiki kuliko Mziki wao! Amzungumzia ROMA na Mastori KIBAO.

Part1 - Mwana FA - Wasanii wengi Bongo wanakiki kuliko Mziki wao! Amzungumzia ROMA na Mastori KIBAO.

AMKA NA BBC KISWAHILI HABARI UKUBWA LEO IJUMAA.

AMKA NA BBC KISWAHILI HABARI UKUBWA LEO IJUMAA.

BILIONEA WA MAPARACHICHI, SHAMBA EKA 1000, MILIONI 200 KWA MSIMU, NYUMBA, MAGARI YA KUTOSHA

BILIONEA WA MAPARACHICHI, SHAMBA EKA 1000, MILIONI 200 KWA MSIMU, NYUMBA, MAGARI YA KUTOSHA

MKATOLIKI (Official video) - Kwaya ya Mt. Secilia Makuburi

MKATOLIKI (Official video) - Kwaya ya Mt. Secilia Makuburi

Dakika 59 Kishimba akimwaga Nondo akizungumza na wanafunzi wa mwaka wa tatu UDOM

Dakika 59 Kishimba akimwaga Nondo akizungumza na wanafunzi wa mwaka wa tatu UDOM

MwanaFA - GWIJI ft Maua Sama & Nyoshi El Saadat (Official Video)

MwanaFA - GWIJI ft Maua Sama & Nyoshi El Saadat (Official Video)

Hotuba ya uzinduzi wa Bunge la 11 dodoma Nov 20,2015

Hotuba ya uzinduzi wa Bunge la 11 dodoma Nov 20,2015

Umma Wamkemea Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi Kama Mtoto: Samia Mashakani Naye Sasa

Umma Wamkemea Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi Kama Mtoto: Samia Mashakani Naye Sasa

Атака дронами по США / Удар по небоскрёбам

Атака дронами по США / Удар по небоскрёбам

MWANA-FA ALIVYOPANDA STEJINI KUCHANA MISTARI - MBAGALA WAKATAA ASIACHE AENDELEE - CHEKI VAIBU...

MWANA-FA ALIVYOPANDA STEJINI KUCHANA MISTARI - MBAGALA WAKATAA ASIACHE AENDELEE - CHEKI VAIBU...

LEMA Asimulia GWAJIMA ALIVYOMWAMBIA LISSU

LEMA Asimulia GWAJIMA ALIVYOMWAMBIA LISSU "Usiende Dodoma, Utapigwa RISASI"

Mwana FA Nitachagua kufa mimi ila sio mke wangu

Mwana FA Nitachagua kufa mimi ila sio mke wangu

MwanaFA Feat Noorah & Barbara  - Unanitega (Official Video)

MwanaFA Feat Noorah & Barbara - Unanitega (Official Video)

🔴#LIVE: WAKILI PETER MADELEKA ANAFUNGUKA SHERIA ZA ARDHI TANZANIA | WATANZANIA KUUZA MAHINDI CONGO?

🔴#LIVE: WAKILI PETER MADELEKA ANAFUNGUKA SHERIA ZA ARDHI TANZANIA | WATANZANIA KUUZA MAHINDI CONGO?

Нежная музыка, успокаивает нервную систему и радует душу 🌿 лечебная музыка для сердца и сосудов #83

Нежная музыка, успокаивает нервную систему и радует душу 🌿 лечебная музыка для сердца и сосудов #83

🔴#LIVE: SHOO ya MWANA FA na MAUA SAMA Mbele ya MAGUFULI, MWANA FA Amuomba JPM Jambo HILI...

🔴#LIVE: SHOO ya MWANA FA na MAUA SAMA Mbele ya MAGUFULI, MWANA FA Amuomba JPM Jambo HILI...

Alarm Nie Zdążył Zawyć… Hipersoniczna Broń Iranu Fattah-2 Uderza w Izrael w 4 Minuty

Alarm Nie Zdążył Zawyć… Hipersoniczna Broń Iranu Fattah-2 Uderza w Izrael w 4 Minuty

UTAPENDA! RAIS SAMIA AMUINUA MWANA FA ACHANE MISTARI -

UTAPENDA! RAIS SAMIA AMUINUA MWANA FA ACHANE MISTARI - "NAONA ULIKAUSHA"

FAHAMU KUHUSU MWANAFA

FAHAMU KUHUSU MWANAFA

RAIS SAMIA AKIPOKEA TAARIFA YA TUME ZA RAIS KUHUSU MGOGORO WA ARDHI NA UHAMAJI WA HIARI, NGORONGORO

RAIS SAMIA AKIPOKEA TAARIFA YA TUME ZA RAIS KUHUSU MGOGORO WA ARDHI NA UHAMAJI WA HIARI, NGORONGORO

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]