Aaron robert song Nimekamilisha
Автор: Aaron Robert
Загружено: 2025-12-10
Просмотров: 37
Описание:
Wimbo huu una story ya kusisimua katika Verse ya kwanza ni story ya kutunga ambayo ni maisha harisi ya wanawake wanaoishi maisha ya Imani na changamoto wanazopitia katika ndoa zao, nimejaribu kubeba uhusika wa huyo mwanaume lakini baadae alibadilika.
Verse ya pili
Ni uhalisia wa Maisha yangu ya Imani.japo pia katika verse ya kwanza nimejaribu kugusia kule Mungu alinitoa. Sikiliza natumai utabarikiwa na Ujumbe huu.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: