Rwang'enyi SDA choir - Amani Itokayo Juu(official video)
Автор: Rwang'enyi SDA Choir
Загружено: 2024-05-15
Просмотров: 4249
Описание:
Amani itokayo Juu Ni wimbo unaopatikan katika Album iliyoachiliwa tarrhe 4.5.2024.
Wimbo huu unaonesha Utukufu wa Mungu Juu ya maisha ya Mwanadamu. sisi kama wana Rwang'enyi SDA choir ⛪ Tunawaomba sana mbonyeze SUBSCRIBE button ili kusapoti kazi zetu na kutuunga mkono katika safari hii ya kuhubiri kupitia Nyimbo.
Bwana Akubariki wew na Familia yako. Amen
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: