Jinsi ya kuhesabu siku za mzunguko wa hedhi unaobadilika badilika
Автор: Afya Tips
Загружено: 2020-07-09
Просмотров: 97229
Описание:
Siku zamzunguko wa hedhi unapobadilika badilika, inakuwa ngumu kwa mwanamke kuhesabu siku za mzunguko wake, na hata kujua siku zake za hatari/ siku zake za kushika mimba
Tazama video hii kujifunza jinsi ya kuhesabu siku za mzunguko wa hedhi unaobadilika badilika kwa urahisi kabisa
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: