Скачать
MIZANI YA WIKI | Ukomo wa bajeti wa trilioni 62 kwa mwaka 2026/27 utabadili uchumi wa Tanzania?
Автор: Azam TV
Загружено: 2026-03-18
Просмотров: 73
Описание:
Serikali imewasilisha mapendekezo ya ukomo wa bajeti kwa mwaka wa fedha 2026/27, ikipanga kutumia zaidi ya shilingi trilioni 62, ongezeko la zaidi ya asilimia 10 kutoka mwaka uliopita.
Lakini ukomo huu wa bajeti una maana gani kwa uchumi wa taifa? Je, unaashiria ukuaji wa uchumi au mahitaji makubwa ya matumizi ya serikali?
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: