SITAKI KUNYANYASA WENGINE KAMA NILIVYONYANYASWA-JJ RWIZA.
Автор: SWAHILI GOSPEL TV
Загружено: 2023-06-26
Просмотров: 826
Описание:
Muimbaji wa Nyimbo za injili nchini Tanzania DKT; JJ Rwiza amekiri uwepo wa Changamoto kadhaa kwa baadhi ya waimbaji hasa wanaochipukia kunyanyaswa na wakati mwingine kunyanyapaliwa kutokana na uimbaji wao.
Rwiza ambaye pia hivi sasa ni Daktari wa Heshima amesema amepitia vikwazo lukuki wakati wa uimbaji wake hasa kupata maslahi yakee binafsi hata baada ya kutumbuiza katika baadhi ya maeneo. Happy Balisidya alikutana naye katika mahojiano ya kipekee huko jijini Dodoma na kufanya naye mazungumzo.
Usisahau kususcribe, Like, Share na Comment @starbosstv2187 ili uwe wa kwanza kupata habari mbalimbali kupitia #swahiligospel
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: