#TAFAKARI
Автор: IPTL PARISH TV
Загружено: 2024-09-09
Просмотров: 3303
Описание:
*TAFAKARI NA*: Baba Paroko Paul Sabuni, Padre wa Jimbo kuu la DSM akiwa kijijini kwao Ikindilo wilaya ya Bariadi
Anatutafakarisha juu ya neno Faraghani kutoka Injili ya Marko sura ya 7 kwa kusema kwamba katika ulimwengu wa leo wenye kelele nyingi, tunahitaji kujitenga mara kwa mara ili kupata amani na kusikia sauti ya Mungu.
Alihimiza waumini kujiwekea muda wa faragha kila siku, ili kumkaribia Mungu na kuboresha maisha yao ya kiroho.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: