Polisi wakabiliana na waandamanaji eneo la Kibra
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2023-07-20
Просмотров: 169374
Описание: Maafisa wa usalama wameshika doria sehemu mbalimbali nchini ambako maandamano ya upinzani dhidi ya serikali yameendelea kwa siku ya pili. ni siku ambayo shughuli zimetatizika sehemu nyingi, huku wakaazi wa baadhi ya maeneo kama nairobi, kisumu, migori, homabay, mombasa wakifunga biashara na hata shule kuhofia athari za maandamano haya. makabiliano kati ya maafisa wa usalama na waandamanaji yakishuhudiwa sehemu kadhaa. wanahabari wetu wamepiga kambi sehemu mbalimbali wakifuatilia matukio haya kiboro primary school sends pupils who reported to school back home over fears of their security
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: