Kalonzo Musyoka adai serikali ilihusika kwenye vurugu Limuru
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2024-11-30
Просмотров: 8317
Описание: Kiongozi wa wiper Kalonzo Musyoka ameilaumu serikali kwa machafuko yaliyoshuhudia kwenye mazishi mjini Limuru hivi majuzi. Kalonzo anadai kuwa yaliyotokea Limuru yanadhihirisha wazi njama ya serikali ya kuendelea kumlenga Rigathi Gachagua na viongozi wanaoumuunga mkono. Aidha, amekosoa kutekwa nyara kwa mbunge wa zamani wa Limuru Peter Mwathi huku Mwathi mwenyewe akisimulia yalimsibu mikononi mwa waliokuwa wamemzuilia.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: