BREAKING: Uhamiaji Ilivyowanasa Wahamiaji Haramu 81 DSM
Автор: Global TV Online
Загружено: 2019-01-21
Просмотров: 6070
Описание:
BREAKING: Uhamiaji Ilivyowanasa Wahamiaji Haramu 81 DSM
Ikiwa ni siku nne zimetimia tangu kuanzishwa kwa operesheni maalum ya kutokomeza wahamiaji haramu katika mkoa wa Dar es Salaam.
Kaimu Afisa Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam, Mrakibu Mwandamizi wa Uhamiaji, Novaita Edmund Mrosso, amezungumza na waandishi wa habari mapema leo Januari 21, na kutoa tathmini ya operesheni hiyo.
Ndugu Mrosso amesema idara ya uhamiaji inaendelea na Oparesheni ya kutokomeza wahamiaji nchini na mpaka sasa wameshawakamata wahamiaji Haramu 81.
#WahamiajiHaramu
Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitte www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App:
ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGw.
Jiunge na Familia ya Global TV Upande Mtandao wa Mafanikio
Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club
https://goo.gl/mkvuoB
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: