#IjueNdoa
Автор: IJUE NDOA
Загружено: 2020-01-16
Просмотров: 3038
Описание:
Wanaume hawazungumzii hisia zao; mara nyingi hubaki na maumivu yao mioyoni na japokuwa wanawake huwa wanapenda kushirikishwa hisia hizo mara nyingi huwa si rahisi kwa wanaume kuwa tayari kuongea. Je nini hasa kinachosababisha ukimyaa huu wa wanaume?..Hapa nimetoa sababu nne za ukimya wa wanaume
Kwa ushauri na mafundisho zaidi wasiliana nami kwa namba 0715104034
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: