GWARIDE LA NAMNA HII HALIJAWAHI KUTOKEA POPOTE TANZANIA
Автор: KUSINI NEWS
Загружено: 2018-06-24
Просмотров: 116967
Описание:
JUMLA ya vijana 55 wamehitimu kozi ya miezi mitatu ya Askari wanyamapori vijijini(VGS) katika chuo cha Uhifadhi wa Maliasili kwa Jamii(CBCTC) kilichopo Likuyu Sekamaganga wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma.
Mgeni rasmi katika mahafali hayo ambayo ni namba 63 ya mwaka 2018 alikuwa ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Meja Generali Gaudence Milanzi.
Akizungumza katika mahafali hayo Katibu Mkuu huyo amewapongeza wahitimu wote kufanikiwa kumaliza mafunzo hayo ambayo ni muhimu kwa uhifadhi wa maliasili katika maeneo ya vijijini ambako kuna rasimali nyingi za nchi zinazotakiwa kulindwa
Hata hivyo Katibu Mkuu huyo wa Wizara ya Maliasili na Utalii amevutiwa na ukakamavu wa wahitimu hao waliouonesha katika gwaride lililoandaliwa na wahitimu kabla ya kutunukiwa vyeti
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: