POLISI KENYA LAWAMANI TUKIO LA KIJANA KUUAWA
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2026-02-16
Просмотров: 147
Описание:
Mamlaka ya kuangazia utendaji kazi wa polisi, imeanzisha uchunguzi kuhusiana na tukio ambalo mtu mmoja alipigwa risasi na kuuawa wakati polisi walipovamia mkutano wa Seneta wa Kaunti ya Nairobi na Katibu Mkuu wa Chama cha ODM Edwin Sifuna, uliohudhuriwa na maelfu ya vijana eneo la Kitengela.
Upinzani umeishtumu Idara ya Polisi, na kusema kuwa inatumika na wanasiasa kuuminya upinzani.
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M - Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: