#Wahumini
Автор: MWANGA WA AHADI
Загружено: 2026-03-02
Просмотров: 3
Описание:
Leo ni siku ya heshima, ukimya na sala…
Kanisa limejaa huzuni lakini pia shukrani kwa maisha ya utumishi wake kwa Kanisa na Taifa 🙏
Ameacha alama ya imani, unyenyekevu na uongozi wa kiroho uliogusa mioyo ya wengi ❤️
Tuendelee kumuombea apumzike kwa amani ya milele ✝️
Bwana ampe pumziko la milele, na mwanga wa milele umwangazie daima. Amina.
📍 Usisahau:👍 Like .💬 Comment .🔁 Share
🔔 Subscribe
📲 Mawasiliano: 0655 509 930
🎵 TikTok: Mwanga wa Ahadi
📘 Facebook: Mwanga wa Ahadi
#PolycarpPengo #KanisaKatoliki #MtYosefu #MwangaWaAhadi #RIP #MisaTakatifu
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: