'Mbatia atimize ahadi la sivyo nitavua nguo"-Mrema
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2017-04-20
Просмотров: 33947
Описание: Mwenyekiti wa bodi ya Parole, Augustino Mrema amemtaka mbunge wa Vunjo James Mbatia atimize ahadi yake ya kumpelekea mfuko wa sukari kilo 50 kila mwezi pamoja na majani kama alivyoahidi kwenye kampeni zake mwaka 2015. Mrema amesema tangu amekuwa mbunge hajawahi kwenda kumuona na ameongeza endapo hatampelekea sukari hiyo atavua nguo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: