Dogo Pateni nyota ya Singeli inayowaka sasa
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2025-04-30
Просмотров: 23148
Описание: Miondoko ya muziki wa Singeli ya Tanzania imepata sura mpya, kijana mdogo Hashim Rajabu Zuberi akijulikana kisanii kama Dogo Pateni baada katika siku kadhaa kuibuka kipaji kipya ambacho kimeteka nyoyo za wengi na hasa katika mitandao ya kijamii. Je uwezo wake huu mpya unaweza kuwa endelevu na kupoanua wigo wa aina hiyo ya muziki kimataifa. Sudi Mnette anazungumza na Dogo Pateni tazama mahojiano na kisha toa mawazo yako.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: