Ulemavu sio sababu ya kubweteka na kutofanya vizuri maishani
Автор: Habari za UN
Загружено: 2019-06-12
Просмотров: 128
Описание: Ummy Nderiananga, mwenyekiti wa shirikisho la vyama vya watu wenye ulemavu nchini Tanzania SHIVYAWATA, katika mahojinano na Idhaa ya Umoja wa Mataifa New York ametoa wito kwa jamii, serikali na mashirika kuwajuimisha watu wenye ulemavu katika maendeleo endelevu. #SHIVYAWATA #Tanzania #UmmyNderiananga
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: