MASKINI VIJANA HAWA! Maandamano Yawaponza, Kilichowakuta...!
Автор: Global TV Online
Загружено: 2018-03-21
Просмотров: 68797
Описание:
MASKINI VIJANA HAWA! Maandamano Yawapoza, Kilichowakuta...!
Jeshi La Polisi Mkoa Wa Dodoma Linawashikilia Watu Wawili Kwa Kosa La Kuhamasisha Maandamano, Kwa Mujibu Wa Kamanda Wa Polisi Mkoa Wa Dodoma, Gilles Muroto, amesema watuhumiwa Wamefanya Kosa Hilo Kwa Makusudi Kwa Kutumia Mitandao Ya Kijamii.
Baada ya kukamatwa na kufikishwa mbele ya waandishi wa habari, mmoja wa watuhumiwa hao, aishiye Wilayani Bahi mkoani humo, aliliomba radhi jeshi la polisi na kuahidi kutorudia tena, huku akidai alitenda kosa hilo bila kujua na kwamba hana mpango wa kuandamana na hata siku hiyo ya Aprili 26 atakuwa nyumbani kwake amelala.
Kufuatia kauli hiyo, RPC Muroto, ametoa rai kwa watanzania kuacha kuyumbishwa na kupotoshwa na baadi ya watu mitandaoni ambao kimsingi hawaitakii mema nchi, na kutoa ahadi ya kuwashughulikia wale wote watakaovunja amani katika mkoa wake.
Install #GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. .
TWITTER: / globalhabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: