ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Je Uongozi wa CCM Unatikiswa na Fumua-Fumua ya Ghafla Ndani ya Sekretarieti?

Автор: HARAKATI TV

Загружено: 2026-02-26

Просмотров: 5927

Описание: Je, fumua-fumua mpya ya uongozi inakaribia ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM)?
Taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika zinaeleza kuwa mchakato wa kufanya mabadiliko ya uongozi na watendaji wa sekretarieti unaendelea, na huenda ukagusa hata safu za juu za uongozi wa chama tawala wakati wowote kuanzia sasa.

Iwapo mabadiliko haya yatatekelezwa, CCM itakuwa imefanya marekebisho makubwa ndani ya kipindi cha miezi sita tangu mabadiliko ya mwisho yaliyofanyika Agosti 23, 2025, ambapo Asha-Rose Migiro aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho. Hali hii inaibua maswali mazito kuhusu mwelekeo wa uongozi wa chama, mkakati wa ndani, na athari zake kwa mustakabali wa siasa nchini.

Katika video hii, tunachambua kwa kina kinachoendelea nyuma ya pazia la fumua-fumua ya CCM:
👉 nini kinachochochea mabadiliko haya?
👉 yataigusa vipi safu za juu za uamuzi?
👉 na yana maana gani kwa mustakabali wa siasa za Tanzania?

Tazama hadi mwisho upate picha kamili ya mvutano wa ndani, mikakati ya chama tawala, na athari za mabadiliko ya uongozi kwa demokrasia na mazingira ya kisiasa nchini Tanzania.

🔔 SUBSCRIBE kwa habari za kisiasa na uchambuzi wa kisheria Tanzania:
   / @harakatitv  

#siasatanzania #uchambuzi #harakatitv #ccm #UongoziWaCCM #tundulissu #uchaguzi2025 #breakingnews
━━━━━━━━━━━━━━━━━━━
📧 Wasiliana nasi: [ [email protected] ]
━━━━━━━━━━━━━━━━━━━

News Theme 1 by Audionautix is licensed under a Creative Commons Attribution 4.0 license. https://creativecommons.org/licenses/...

Artist: http://audionautix.com/

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Je Uongozi wa CCM Unatikiswa na Fumua-Fumua ya Ghafla Ndani ya Sekretarieti?

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Misa ya Mazishi ya Kardinali Pengo: MTAFARUKU Kanisani!

Misa ya Mazishi ya Kardinali Pengo: MTAFARUKU Kanisani!

TAZAMA PADRE KITIMA ALIVYOTAMBULISHA VIONGOZI WA SERIKALI NA VIONGOZI WA KANISA MBELE YA RAISI SAMIA

TAZAMA PADRE KITIMA ALIVYOTAMBULISHA VIONGOZI WA SERIKALI NA VIONGOZI WA KANISA MBELE YA RAISI SAMIA

ЕСЛИ НА ТЕЛЕ ПОЖИЛОГО ЧЕЛОВЕКА ВДРУГ ПОЯВЛЯЕТСЯ ЭТО, ГОТОВЬТЕСЬ К ХУДШЕМУ…

ЕСЛИ НА ТЕЛЕ ПОЖИЛОГО ЧЕЛОВЕКА ВДРУГ ПОЯВЛЯЕТСЯ ЭТО, ГОТОВЬТЕСЬ К ХУДШЕМУ…

RAIS SAMIA USO KWA USO NA FATHER KITIMA MSIBANI KWA MWADHAMA PENGO, ATOA NENO, AWATANIA CHADEMA

RAIS SAMIA USO KWA USO NA FATHER KITIMA MSIBANI KWA MWADHAMA PENGO, ATOA NENO, AWATANIA CHADEMA

MTANZANIA MWINGINE AFUNGUKA A-Z JINSI MAKOMBORA YA IRAN YALIVYOIHARIBU KAMBI YA AL UDEID QATAR

MTANZANIA MWINGINE AFUNGUKA A-Z JINSI MAKOMBORA YA IRAN YALIVYOIHARIBU KAMBI YA AL UDEID QATAR

JAJI MASAJU KACHOMOA BETRI ‘Hatuwezi Kuishi Kwa Maelekezo’ Hotuba NZITO!

JAJI MASAJU KACHOMOA BETRI ‘Hatuwezi Kuishi Kwa Maelekezo’ Hotuba NZITO!

«Мне не нравятся партийные распри, это просто недоразумение», — Нчимби.

«Мне не нравятся партийные распри, это просто недоразумение», — Нчимби.

1КРУЖКА В ДЕНЬ — И СУСТАВЫ ПЕРЕСТАЮТ БОЛЕТЬ!

1КРУЖКА В ДЕНЬ — И СУСТАВЫ ПЕРЕСТАЮТ БОЛЕТЬ!

DKT.SLAA: SIRI IMEVUJA MELI KUBEBA COCAINE NA KUKAMATWA EL SALVADOR USIJALI WA ZANZIBAR,DA!MUUNGANO

DKT.SLAA: SIRI IMEVUJA MELI KUBEBA COCAINE NA KUKAMATWA EL SALVADOR USIJALI WA ZANZIBAR,DA!MUUNGANO

KIKWETE, Awalipuwa Police Wa Tanzania kuhusiana Na MAFWELE Alipo

KIKWETE, Awalipuwa Police Wa Tanzania kuhusiana Na MAFWELE Alipo

Khamenei ni mzima? Israel na Iran wakinzana! Operesheni ya US na Israel yakutana na Kigongo

Khamenei ni mzima? Israel na Iran wakinzana! Operesheni ya US na Israel yakutana na Kigongo

DKT. NCHIMBI APEWE ULINZI NCHIMBI KACHOMOA BETRI

DKT. NCHIMBI APEWE ULINZI NCHIMBI KACHOMOA BETRI "SIPENDI MNAVYOGONA KIVYAMA"

JINSI MBATIA ALIVYOPORWA UENYEKITI NCCR MAGEUZI / ADAI SABABU NI MISIMAMO YAKE / AMEWAHI KUTUMIKA?

JINSI MBATIA ALIVYOPORWA UENYEKITI NCCR MAGEUZI / ADAI SABABU NI MISIMAMO YAKE / AMEWAHI KUTUMIKA?

ZNALEZIENI PRZEZ SMROD: 10 Legend PRL, o których śmierci świat dowiedział się za późno

ZNALEZIENI PRZEZ SMROD: 10 Legend PRL, o których śmierci świat dowiedział się za późno

Leo #MariaSpaces tunajadili: Je tumethibitsha kuwa Dola imetekwa na wahalifu?

Leo #MariaSpaces tunajadili: Je tumethibitsha kuwa Dola imetekwa na wahalifu?

Channel 12: Netanjahu pokazano zdjęcie ciała przywódcy Iranu Chameneiego

Channel 12: Netanjahu pokazano zdjęcie ciała przywódcy Iranu Chameneiego

BREAKING NEWS: Operesheni ya Siri Yafeli Kenya – Mwanaharakati Anusurika Utekaji

BREAKING NEWS: Operesheni ya Siri Yafeli Kenya – Mwanaharakati Anusurika Utekaji

NINI KINAENDELEA? Ripoti ya Oktoba 29 Yakwama kumfikia  Rais Samia Ndani ya Siku 90! jaji chande...

NINI KINAENDELEA? Ripoti ya Oktoba 29 Yakwama kumfikia Rais Samia Ndani ya Siku 90! jaji chande...

MANENO YA PADRI KITIMA  ALIPOTAJA JINA LA  Rais amia | APIGA KIJEMBE CHADEMA

MANENO YA PADRI KITIMA ALIPOTAJA JINA LA Rais amia | APIGA KIJEMBE CHADEMA

Mmh! FATHER KITIMA AWACHANA HECHE NA MNYIKA MBELE YA RAIS 'MNAJIFICHA

Mmh! FATHER KITIMA AWACHANA HECHE NA MNYIKA MBELE YA RAIS 'MNAJIFICHA" | MSIBANI AWAUMBUA?

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]