JINSI YA KUSOMA BIBLIA YOTE KWA MWAKA MZIMA - Innocent Morris
Автор: Holy Spirit Connect
Загружено: 2025-01-06
Просмотров: 14805
Описание:
JINSI YA KUSOMA BIBLIA YOTE KWA MWAKA MZIMA - Innocent Morris
Je, unataka kusoma Biblia nzima lakini hujui wapi pa kuanzia? Je, umekuwa ukipata changamoto ya kuishia njiani kila ukianza kusoma Biblia?
Je, umekuwa ukipata changamoto ya kutokuelewa Biblia pale unapoisoma? Je, umekuwa ukipata changamoto ya mawazo mabaya wakati wa kusoma Biblia? Katika somo hili utapata majibu yote ya maswali haya.
Na pia utajifunza njia rahisi na mipangilio ya kukusaidia kusoma Biblia yako ndani ya mwaka mmoja.
Na utafahamu:
✅ Mpangilio bora wa kila siku wa kusoma Biblia
✅ Njia za kudumisha nidhamu na uvumilivu wa kiroho
✅ Umuhimu wa kusoma Biblia nzima kwa maisha yako ya kiroho
Usikose somo hili lenye nguvu! Hakikisha unasikiliza hadi mwisho na unashare na marafiki zako ili waweze kubarikiwa pia.
🔔 Usisahau kusubscribe YouTube Channel yetu ya Holy Spirit Connect.
Ubarikiwe sana.
Innocent Morris
+255652796450 (WhatsApp)
Instagram Page: holyspiritconnect
Facebook Page: Holy Spirit Connect
Tiktok: hscworship
Contact: +255652796450 (WhatsApp)
Instagram Link:
/ holyspiritconnect
Facebook Link:
/ holyspiritconnect
YouTube Link:
/ holyspiritconnect
Tiktok Link:
/ hscworship
#SomaBiblia #InnocentMorris #HolySpiritConnect #MaishaYaKiRoho #BibliaKwaMwakaMmoja
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: