HOTUBA YA MAGUFULI: ALIVAA JESHI LA POLISI "DHAHABU ILIPITAJE?"
Автор: Global TV Online
Загружено: 2019-07-24
Просмотров: 15795
Описание:
HOTUBA YA MAGUFULI: ALIVAA JESHI LA POLISI "DHAHABU ILIPITAJE?"
Rais John Pombe Magufuli leo katika makabidhiano ya dhahabu yene uzito wa kg 35. ambazo zilikamatwa katika uwanja wa ndege wa Kenya kutokea Tanzania, amezungumza mengi kubwa zaidi amesisitiza kudumisha upemndo na mshikamaano..
Pia amesema anamshukuru rafiki yake Uhuru Kenyatta kwa kuwa mzalendo kwa kukamata dhahabu ambazo ziliibiwa Nchini humu mwaka jana 2018.
JPM ameongeza " Namshukuru sana Kenyatta na pia nawashukuru Wakenya wote kwa ujumla"
Huu ni uzalendo na alichokifanya Kenyatta ni uzalendo na uaminifu wa hali ya juu sana..
Ameongeza kuwa "Kenya wameahidi kununua unga kutoka Tanzania badala ya mahindi, huu ndio undugu na urafiki wa kweli.."
"Mali za wananchi ni lazima zirudi kwa wananchi kwa ajili ya maendeleo, Kenya na Tanzania ni kitu kimoja.."
#MAGUFULI#DHAHABU
https://www.youtube.com/playlist?list... https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:
www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: