ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

AICT Chang’ombe Choir - Saa ya Mwisho (Official Music Video)

Автор: AIC Chang'ombe Choir (CVC)

Загружено: 2023-03-25

Просмотров: 338848

Описание: Shalom Shalom Mpendwa Katika Bwana!

Imekuwa baraka sana kukuletea wimbo huu wa saa ya mwisho ikiwa kama zawadi yetu ya Pasaka kwako.
LUKA 23:32-43
Wimbo huu unaeleza namna gani tunatakiwa kuutumia muda tulionao vizuri, mfano wa wanyang’anyi wawili walipokuwa pamoja na YESU msalabani, mmoja aliamua kuitumia saa yake ya mwisho vizuri, akasema ‘’Ee YESU! unikumbuke wakati utakapoingia katika ufalme wako” ingawa alikuwa mtenda dhambi lakini YESU alimwambia Leo hii utakua pamoja nami peponi.
Haijalishi umefanya maovu kiasi gani, umepitia magumu mangapi bado nyumbani mwa BWANA una nafasi unachotakiwa ni kutubu, kuacha njia mbaya na kumgeukia BWANA ili ukaurithi ufalme wake wa milele.
#Saayamwisho #pasaka #choir

SONG LYRICS;
Kiitikio : Saa ya mwisho kumbuka inakuja
Kumbuka..saa ya mwisho karibu inakuja
Iyo..oooh x2

Beti 1: Wanyang’anyi wawili msalabani wakiwa naye YESU
Wanangojea kifo msalabani wakingojea kifo
Wenye dhambi wawili msalabani wakiwa naye YESU
Saa yao ya mwisho msalabani wakingojea kifo.
Wenye dhambi wawili msalabani wakiwa naye YESU
Saa yao ya mwisho msalabani wakingojea kifo.

Solo 1 : Iye iye iye iye iye Baba ooh
: Iye iye iye iye iye ooh
Wa kwanza alianza kumwambia Bwana YESU
Kwa kejeli alianza kumwambia Bwana YESU
Ulijifanya MUNGU..mbona unateseka
Kama wewe ni MUNGU ebu jiponye sasa
Ulijifanya MUNGU, mbona unateseka
Kama wewe ni MUNGU ebu jiponye sasa tuponye na sisi
Yesu hakujibu
(Yesu hakujibu) x2

Kiitikio : Saa ya mwisho kumbuka inakuja
Kumbuka..saa ya mwisho karibu inakuja

Iyo..oooh X2

Solo 2 : Wa pili alianza kumwambia Bwana YESU
Kwa adabu alianza kumwambia Bwana YESU
Mimi ni mwenye dhambi
Naomba msamaha
Unikumbuke Baba unakokwenda Baba
Nimetenda maovu naomba msamaha
Unikumbuke Baba unakokwenda Baba..(Aaaah)
Unikumbuke Baba unakokwenda Baba..(Aaaah)

Solo : Yesu alijibu
Wote: (Yesu alijibu) x2
Leo hii utakua nami peponi
Leo hii utakua nami mbinguni
Leo hii..

Kiitikio : Saa ya mwisho kumbuka inakuja
Kumbuka..saa ya mwisho karibu inakuja
Iyo..oooh x2

SONG CREDITS TO;
Song Writer - Papaa Clement Buhembo
Video Director - Elidadi
Videographer - Amigo Johnson
Lights - Sengati
Audio - CVC Media

Tufuatilie kupitia
Instagram   / cvcchoirtz_official  
Facebook   / cvc-choir  

©2023 AICT Chang'ombe Choir | All Rights Reserved.Channel Administered by Huru Digital
Instagram:   / hurudigital  

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
AICT Chang’ombe Choir - Saa ya Mwisho (Official Music Video)

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

AIC Chang'ombe Choir (CVC)  - ELOHIM (Official Live Video)

AIC Chang'ombe Choir (CVC) - ELOHIM (Official Live Video)

⚡️ Срочный ответ Трампу || Россия готова к войне с США

⚡️ Срочный ответ Трампу || Россия готова к войне с США

AIC Chang'ombe Choir (CVC)  - TUMETUMWA  (Official Live Video)

AIC Chang'ombe Choir (CVC) - TUMETUMWA (Official Live Video)

NI PALE UNATAMANI KITU KITOKEE LAKINI KIMYA! -

NI PALE UNATAMANI KITU KITOKEE LAKINI KIMYA! - "INAUMA..! ILA WAIT IN SILENCE." ~ Rev. Eliona Kimaro

Aict Nyankumbu Vijana Choir  (NVC)  Amani Tanzania Tanzania 4k

Aict Nyankumbu Vijana Choir (NVC) Amani Tanzania Tanzania 4k

Mavr Mkrtchyan - Amen Hayr Surb | Armenian Sacred Hymn | Live Concert

Mavr Mkrtchyan - Amen Hayr Surb | Armenian Sacred Hymn | Live Concert

Պուտինը կձերբակալի՞ Փաշինյանին․ Ի՞նչ նախադեպ ստեղծեց Թրամփը՝ բռնելով Մադուրոյին | Դավիթ Գրիգորյան

Պուտինը կձերբակալի՞ Փաշինյանին․ Ի՞նչ նախադեպ ստեղծեց Թրամփը՝ բռնելով Մադուրոյին | Դավիթ Գրիգորյան

Chang'ombe Choir CVC-MANENO SABA YA YESU

Chang'ombe Choir CVC-MANENO SABA YA YESU

Чем ОПАСЕН МАХ? Разбор приложения специалистом по кибер безопасности

Чем ОПАСЕН МАХ? Разбор приложения специалистом по кибер безопасности

Baba Umenitetea (Live)

Baba Umenitetea (Live)

AIC (T) Dodoma Choir - Ukuta (Official Live Video)

AIC (T) Dodoma Choir - Ukuta (Official Live Video)

AIC Chang'ombe Choir (CVC)  -  MSIKILIZE ROHO   (Official Live Video)

AIC Chang'ombe Choir (CVC) - MSIKILIZE ROHO (Official Live Video)

Ufunuo Choir  - Usisahau ( Live Performance )

Ufunuo Choir - Usisahau ( Live Performance )

AMBWENE MWASONGWE - ALIKUTA IBADA (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

AMBWENE MWASONGWE - ALIKUTA IBADA (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

AIC CHANG'OMBE -JINSI ZILIVYO

AIC CHANG'OMBE -JINSI ZILIVYO

KKKT Usharika Choir ft Dayana - Tulikotoka Tumekuona (Official Live video)

KKKT Usharika Choir ft Dayana - Tulikotoka Tumekuona (Official Live video)

AIC Chang'ombe Choir (CVC) ft. Joel Lwaga - HABARI NJEMA  (Official Live Video)

AIC Chang'ombe Choir (CVC) ft. Joel Lwaga - HABARI NJEMA (Official Live Video)

AIC Changombe Choir Iweni Safi Official Video

AIC Changombe Choir Iweni Safi Official Video

I Have Decided to Follow Jesus – No Turning Back (Worship Hymn)

I Have Decided to Follow Jesus – No Turning Back (Worship Hymn)

Moyo (Live)

Moyo (Live)

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]