RDC: UN inasema maofisa wake wazuiliwa na M23 kuingia mashariki ya Congo
Автор: RFI Kiswahili
Загружено: 2025-07-24
Просмотров: 1933
Описание:
#m23 #drcconflict #m23rebels
Umoja wa Mataifa umesema wataalamu wake walizuiliwa na waasi wa M23 kufanya uchunguzi wao katika ngome wanazoshikilia mashariki mwa DRC.
Mikataba kadhaa imesainiwa kujaribu kutafuta suluhu mashariki mwa DRC, ila hadi kufikia sasa bado hakuna juhudi zilizozaa matunda.
Video: Reuters
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: