Aliyekuwa Commentator wa Radio 47 Amefichua Yote! | Exclusive Interview na Harun Malenga
Автор: A TALK WITH FRANCOS
Загружено: 2026-02-15
Просмотров: 44
Описание:
Katika kipindi hiki cha A Talk with Francos, tunakuletea mahojiano ya kipekee na mmoja wa sauti zilizotikisa tasnia ya utangazaji wa michezo nchini Kenya — Harun Malenga.
Alijulikana sana kama commentator wa mpira katika Radio 47, akifanya kazi pamoja na majina makubwa kama Mbaruk Mwalimu, Billy Miya, na Hassan Ali Kauleni. Lakini ghafla, akapotea hewani — jambo lililowaacha mashabiki wengi na maswali mengi.
Katika interview hii, Harun Malenga anafunguka kuhusu:
-Safari yake ya kuwa commentator wa Mpira.
-Changamoto alizokutana nazo katika media.
-Uzoefu wake ndani ya Radio 47.
-Kilichotokea hadi akaondoka hewani.
-Maisha yake sasa na mipango ya baadaye.
-Hii ni hadithi ya juhudi, mafanikio, na ukweli ambao wengi hawaujui.
👉 Kama unapenda content kama hii, subscribe kwa Francos Of Africa na uwashe notification 🔔
#ATalkWithFrancos
#HarunMalenga
#Radio47
#SportsCommentary
#KenyanMedia
#FootballCommentary
#KenyaYouTube
#MediaKenya
#KenyanJournalists
#AfricanStories
#PodcastAfrica
#YouTubeKenya
#ExclusiveInterview
#SportsMedia
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: